Nafasi Ya Matangazo

November 08, 2009

Club Maisha Oysterbay yateketea kwa moto
Moto ukiwaka na kuteketeza Club Maisha ya jijini Dar es Salaam mchana wa leo. Jengo la Cluba Maisha likionekana baada ya kuteketea kabisa kwa moto uliosababisha na hitilafu ya umeme.Mmiliki wa Club Maisha mama Hellen Sweya akiwasiliana na baadhi ya jamaa xzake juu ya kuungua kwa Club yake hiyo leo. Jamaa wakimfariji Bi. Hellen. Club ahiyo hivi karibuni ilifanyiwa ukarabati mkubwa uliogharibu ma milioni ya shilingi za Kitanzania.
Posted by MROKI On Sunday, November 08, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo