Nafasi Ya Matangazo

November 08, 2009

MAJUU KWELI HAMNAZO, SALON YA MASSAGE KWA NYOKA Msichana akifanyiwa Massage kwa kutumia nyoka ambao wanadaiwa kuwa ni wakali.
Hapa ni mgongoni sasa... mama huyu anataraji kufungua salon jijini Dar es Salaam na hakika anayetoka hapo anakuwa mtembo wa haja.
Bibie hapoa anasikia raha iliyopitiliza siunajua ubaridi wa nyoka sasa akipita mgongoni si ndo usiseme na kuteleza kwake.
Posted by MROKI On Sunday, November 08, 2009 2 comments

2 comments:

  1. mmh kazi kwelikweli ! kwa mtaji huo bongo hatampata mteja yoyote .... wabongo sie ni waoga sana wa nyoka !

    ReplyDelete
  2. eeeee bwana bi up sana mroki,nimecheck web yako lakina haina information ya kutosha jitahidi kuweka mambo mengi humu ili mtu aweze kuapata information nyingi zaidi
    ni hayo tu
    stanley Francis Kunambi,moro

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo