Nafasi Ya Matangazo

October 25, 2009

Vodacom Tanzania katika kuwajali wateja wake imezindua huduma mpya ya Cheka Time ambapo wateja wake wanaojiunga na huduma hiyo kwa sh 500 tu watajipatia dakika 60 za bure za maongezi bure. Pichani ni maofisa wa Vodacom, Exaud Kiwali (kulia) Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji, Mwamnvita Makamba Mkurugenzi wa Mawasiliano na Boniface Emmanuel Mkuu wa Huduma na Bidhaa walizindua hilo nawe bovya katika Motibel;i yako ya Vodacom *147*07# unakuwa umejinunga.
Posted by MROKI On Sunday, October 25, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Kaka,

    Samahani, huyo jamaa kulia sio Exaud Kiwali. Hebu check nao wakupe jina sahihi.

    Taji

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo