
Mimi nimeshapiga kura...mkazi wa Temeke akionesha kidole chake baada ya kupiga kura.

Waliofanya fujo katika vituo walidhibitiwa na wananchi wenyewe.

FFU akiwatuliza watu Katika kituo cha Malapa Buguruni leo.

Wapo waliobeba karatasi za kupigia kura na kwenda kujazia mbali lakini kupigwa picha walikataa.

Baadhi ya Wasimamizi walikuwa hawataki kupigwa picha na walifanya hivi.
0 comments:
Post a Comment