Nafasi Ya Matangazo

October 27, 2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi, Dk. Aman Abein Karume akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kuwasili kutoka Paris Ufaransa
katika mkutano wa 35 wa Unesco. Karime akisalimiana na viongozi wa kijeshi Zanzibar.
Rais Karume akisalimiana na viongozi wa Serikali ya Zanzibar waliofika kumpokea.
Akifafania jambo kwa waandishi wa Habari, kushoto ni Naibu Waziri Kiongozi .
Posted by MROKI On Tuesday, October 27, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo