Nafasi Ya Matangazo

October 13, 2009

Vijana wa Jamii ya wafugaji wa kabila la kimasai wa kijiji cha kisaki, Wilaya ya Morogoro ambao wanadaiwa kupingwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana baada ya kutokea wizi wa mifugo ya wafugaji wa kabila la Wabarabeigh, Oktoba 9, mwaka huu wakisikiliza maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro , Said Mwambungu ( hayupo pichani).
Baadhi ya vijana wa kabila la Wabarabeigh wakipasha miili yao baada ya kupatikana kwa suluhisho baina yao na wafugaji wa jamii ya kimasai wa kijiji cha Kisaki baada ya hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro , Said Mwambungu ( hayupo pichani) Oktoba 11,mwaka huu.
Posted by MROKI On Tuesday, October 13, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo