
Bwana Emmanuel Tamila Makene na Bi Sara Twilumba Mgaya baada kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki Upanga Dar es Salaam Oktoba 24 2009. Kairuki.

Picha ya pamoja kati ya maharusi na wapambe wao.

Bawana Emmanuel M Tamila Harusi ni Mwanasheria Kitaaluma na Mmiliki wa Kampuni ya Sheria ya Kings Law Chembers na Pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni na Bi Harusi Sara T Mgaya ni Mwanafunzi wa Udaktari wa Madawa katika Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki.Bi Sara ni Mwenyeji wa Ludewa Iringa ambapo Tamila ni mwenyeji wa Mwanza.
Hongereni maharusi. Nawatakia maisha mema. Picha ya kwanza nyuma ya maharusi nimemuona classmate wangu Forodhan Secondary School (1993) Horomo Mandopola! Jamani lol!
ReplyDeleteHongera sana Tamila na Sarah,
ReplyDeleteTSN bado twakukumbuka our former CS.