
Owen akivishwa pete na mkewe Mary jana huku Askofu Mkuu wa KKKT Malasusa akishuhudia.

Hizi ndio nyaraka zetu...Owen na Mary wakionesha vyeti vyao baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama Oktoba 24 2009.

Owen na Mary pamoja na wapambe wao wakila pozi ya picha kanisani jana.

Wapapmbe wakiwa Kanisani KKKT Kijitonyama Dar es Salaam jana.

Maharusi Owen na Mary wakiingia katika ukumbi wa Millenium Tower Open Roof jana.
0 comments:
Post a Comment