
Leo nilitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Songas na IPTL kule Tegeta, nikiwa na Waziri wa Niashati na Madini, William Ngeleja.

Selemani Mpocghi wa The Guardian Ltd akiangalia matanki ya kuhifadhia mafuta ya kuendeshea mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya IPTL.

Mwisho Waziri Ngeleja alizungumza na waandishi wa Habari juu ya ziara hiyo.
sasa ni huyu waziri tuu aliepewa helmet nyie wengine amhitaji au
ReplyDeleteWizi Mtupu.
ReplyDelete