
Balozi wa Afrika Kusini nchini anayemaliza muda wake, Sindiso Mfenyana (kushoto) akikabidhi kitabu cha kumbukumbu ya watu mashuhuri wa Afrika, Oliver Tambo Remembered', kwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Mkumbwa Ally, alipotembelea ofisi hiyo kwa ajili ya kuaga.
0 comments:
Post a Comment