
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kipera iliyoko katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wakifanya moja ya majaribio ya masomo ya sayansi wakati wa tamasha la shule za sekondari lilizofanyika Chuo Kikuu cha Mzumbe.Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Mama Salma Kikwete akingalia mfano wa tufe wakati wa monesho hayo.

Mke wa Rais, Salma Kikwete akifungua rasmi jengo la kujifunguliawazazi katika kituo cha afya cha Kata ya Mlali Wilayani Mvomero mkoani Morogoro na baadaye alitoa vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye thamani ya shilingi 3,872,000.
0 comments:
Post a Comment