Nafasi Ya Matangazo

September 24, 2009

Mkurugenzi wa Vodafone barani Ulaya na Africa Morten Lundal akionyesha jina lake kwa Mkurugenzi wa mahusiano wa mambo ya nje wa Vodafone Matthew Kirk(katikati)Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare baada ya kuzindua rasmi mradi wa mifugo wenye thamani ya shilingi Milioni 12 kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Yatima Group Trust Fund,mbagala chamanzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone barani Ulaya na Africa Morten Lundal (katikati) akimwelekeza kuandika mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Yatima Group Trust Fund Izack Lubanza(kushoto)wakati walipoenda kuzindua mradi wa mifugo wenye thamani ya Sh Milioni 12 kwa ajili ya kusaidia huduma za watoto yatima wa kituo hicho.(kulia) Mkurugenzi wa mahusiano wa mambo ya nje wa Vodafone Matthew Kirk.
Posted by MROKI On Thursday, September 24, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo