Nafasi Ya Matangazo

September 04, 2009

Rais Jakaya Kikwete na Mkewe, Salma Kikwete wakijaza fomu za kufungua akaunti katika Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) baada ya kuizindua Dar es Salaam jana. kushoto ni mhudumu wa Benki hiyo Irine Chirwa.

Mama Salma Kikwete akiweka fedha katika akaunti yake huku Mumewe akimwangalia.
Wanawake wakiingia ndani ya Benki hiyo baada ya Rais kuizindua rasmi. Jasiri Haachi Asili...capt John Komba (MB) Mwimbaji na Kiongozi wa Tot Plus akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo wa TWB.
Hapa palikuwa hapavumiliki... Mbunge wa Viti maalum Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni Assembless of God, Rev. Getrude Rwakatare akirudi moja ya mipasho ya Hadija Kopa wa TOT Plus. Pongezi zilitoka hata kwa wapinzani...Mkurugenzi wa African Stars Entertainment Asha Baraka akipiga makofi kuunga mkono Burudani ya TOT Plus.
Posted by MROKI On Friday, September 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo