
Mtaalam Luca Monrado,(wa pili kulia) kutoka Itali akiunganisha gesi katika gari na kutumika kuwa nishati ya kuendeshea badala ya mafuta, kulia ni mtafiti muandamizi wa Shirika la Petrol Tanzania,Cherles Sangweni,katikati ni Mwenyekiti wa TriangleTanzania, Ramadhani Ng'humbi, pamoja na mafundi.

Mtungi wa gesi unapowekwa katika gari.

Kituo cha Kuuzia Gesi kwaajili ya matumizi ya magari cha PanaAfrican Enegy ambacho kinaendesha kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Mafuta Tanzania (TPDC).

Jopo la wataalm wa ufungaji teknolojia ya Gesi katika magari wakiwa katika picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment