Nafasi Ya Matangazo

August 07, 2009

Kiti cha Spika ni moja ya vivutio vikubwa katika banda la Bunge kwenye maonyesho ya Nane Nane yanayoendelea mjini Dodoma, pichani ni baadhi ya wananchi wakijaribu kukigusa ili kubaini vitu vilivyotumika kutengenezea kiti hicho.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria mkutano wa kwanza kwa mwaka 2009/10 wa baraza la wafanyakazi wa wizara ya Nishati na Madini uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliopo katika jengo la Water Front jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na waziri wa Wizara hiyo William Ngelleja (watatu kushoto) akifuatiwa na Katibu Mkuu wa wizara Athur Mwakapugi (kushoto kwa waziri).

Posted by MROKI On Friday, August 07, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo