

Keki ya kuadhimisha mika kadhaa ambayo ni karibu na nusu karne kwa Jane Kagonji (kushoto) Mgaya Kingoba na Albina Kimaro.

'Watoto' wakilishana keki ni jane (kushoto) na Albina wakimslihs Kingoba.
MC nae alikula keki kwa niaba ya wadau wa Father Kidevu

Mzee wa nani hii nae alikula kipande chake. Birth Date party hii ilifanyika Chumba cha Habari Daily News /Habarileo Agosti 13 2009. Blogu hii inawatakia Hekima na Busara katika maisha yenu.
Mmpendeza. Mungu aendelee kuwabariki na awape maisha marefu yenye heri. HAPPY BIRTHDAYS!!!
ReplyDelete