
Mto umetekeza nyumba ya Vyumba vitano iliyokuwa Uwani katika Nyumba ya Bi Asia Ramadhani iliypo Mbagala Zakhem Dar es Salaam leo Agosti 19 mchana.

wapangaji waliounguliwa nyumba wakikataa kupigwa picha.

Vitu vilivyotolewa katika nyumba kubwa ya Bi Asia Ramadhani.
0 comments:
Post a Comment