
Mfugaji wa Mbuzi wa Kijiji cha Kilomo, Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani, Abdallha Jumanne akitoa ya maelezo kwa wananchi ( hawapo pichani ) jinsi ya Dume la mbuzi lenye matiti yanayokamuliwa maziwa katika Banda la Maonesho la Halmashauri hiyo jana eneo la Viwanja vya Mwalimu Juluis Nyerere, Morogoroa./Picha na
www.habarileo.co.tz
kaka hilo si rizki! kwa wale tujuaao lakini mabo ya bwagamoyo sina usemi.
ReplyDelete