Nafasi Ya Matangazo

August 07, 2009

Mfugaji wa Mbuzi wa Kijiji cha Kilomo, Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani, Abdallha Jumanne akitoa ya maelezo kwa wananchi ( hawapo pichani ) jinsi ya Dume la mbuzi lenye matiti yanayokamuliwa maziwa katika Banda la Maonesho la Halmashauri hiyo jana eneo la Viwanja vya Mwalimu Juluis Nyerere, Morogoroa./Picha na www.habarileo.co.tz
Posted by MROKI On Friday, August 07, 2009 1 comment

1 comment:

  1. kaka hilo si rizki! kwa wale tujuaao lakini mabo ya bwagamoyo sina usemi.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo