Majambzzi yaliyo na Silaha na mabomu ya kurusha kwa mkono leo asubuhi majina ya saa 5:20 walivamia Benki ya NMB tawi la Temeke na kupora kiasi kikubwa cha fedha. Pia yaliua mlinzi mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi na kujeruhi wengine 14 wakiwamo askari Polisi wawili. Damu katika sehemu ya maulizo ya Benki hiyo.
July 31, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Poleni mlioadhirika. Ila mi nna tatizo, hivi ni ushamba, ukosefu wa fedha au kuabudu kugha za wenzetu? yani hata vitu muhimu kama vifaa vya polisi tunashindwa kuandika kwa kiswahili chetu? Eti 'Police line don't cross' hivi watoto wa uswazi wanaelewa hilo, akipita je?
ReplyDelete