
Majambzzi yaliyo na Silaha na mabomu ya kurusha kwa mkono leo asubuhi majina ya saa 5:20 walivamia Benki ya NMB tawi la Temeke na kupora kiasi kikubwa cha fedha. Pia yaliua mlinzi mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi na kujeruhi wengine 14 wakiwamo askari Polisi wawili.

Damu katika sehemu ya maulizo ya Benki hiyo.

Mabaki ya risasi na pini za mabomu ya mkono.

Watu wakiwa nje ya eneo la tukio

Wafanyakazi wakiwa wameduaa baada ya kusalimika.

Wengi walisahau ama kupoteza viatu na walichafuka.

Viatu hivi ama vya wateja wa NMB Temeke au Wafanyakzi waliokimbia na kuvisahau.
Poleni mlioadhirika. Ila mi nna tatizo, hivi ni ushamba, ukosefu wa fedha au kuabudu kugha za wenzetu? yani hata vitu muhimu kama vifaa vya polisi tunashindwa kuandika kwa kiswahili chetu? Eti 'Police line don't cross' hivi watoto wa uswazi wanaelewa hilo, akipita je?
ReplyDelete