Spika wa Bunge Samuel Sitta akizungumza jambo katika moja ya mikutano ya Bunge mjini Dodoma hivi karibuni. Spika leo alitangaza ukiukwaji wa maadili katika upigaji picha za wabunge na habari mbalimbali za Bunge hilo kwa vyombo vya habari.
Wabunge wakifuatilia kikao cha Bunge mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment