Yanga ilipachikwa goli la kwanza katika sekunde ya 44 mfungaji Mohamed Barakat na lapili lilifungwa dakika ya 20 kupitia kwa muangola Flavio Almando, goli la tatu lililoizima nyota ya Jaa ya Yanga toka Jwangwani lilipachikwa kimiani dakika ya 52 akiwa ni Mohamed Barakat tena.
First Eleven ya Yanga ni kama ifuatavyo:
Obrein Curkovic , Shadrack Nsajigwa, Amir Maftah, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ Wisdom Ndhlovu, Nurdin Bakari, Mrisho Ngassa, Boniface Ambani , Bernard Mwalala na Athumani Iddi .




0 comments:
Post a Comment