Mmoja wa wasabato masalia akitoa nenoEneo wanalolitumia kwa kulala na kupumzika usiku na mchana wake kwa waume.
Akina dada walio katika kundi hilo la waumini wa Sabato Masalia wakiandaa chakula cha mchana.
Chungu cha uji kikichemka jikoni.
Mti waliokuwa wakiutumia awali kama makazi yao na kukatwa na wakazi wa eneo hilo ili wahamae na kusogea kando katika vichaka.
mabaki ya matunda ya Mchikichi yanayotumika kutengenezea mafuta ya Mawese yakiwa katika eneo hilo baada ya kukamua mafuta.
mabaki ya matunda ya Mchikichi yanayotumika kutengenezea mafuta ya Mawese yakiwa katika eneo hilo baada ya kukamua mafuta.
Chakula ambacho hakikufahamika mara moja kuwa ni mcahanganyiko wa nini na nini kikiwa tayari kwa kuliwa.
Kisima ambacho waumini wa Sabato Masalia hukitumia kuchota maji ya kunywa na kupikia kilichopo katika eneo la Tabata Senene.
Asante sana kwa habari kwa njia ya picha na maelezo yake. Yataka moyo!
ReplyDeleteMh! Imani kazi!
ReplyDeleteEeeh MUNGU wasaidie waijue kweli na kweli yako itawawaka huru!
ReplyDeleteNadhani hawa wasabato wanahitaji kwenda kupimwa akili. Hii haionekani kama inafanywa na mtu mwenye akili timamu.
ReplyDeletehizi dini nyingine ? hasa mwisho wa dunia unanukia !
ReplyDeletewakipata kipindupindu watamlaumu nana???mambo mengine bwana.
ReplyDelete