Nafasi Ya Matangazo

March 07, 2009

Msanifu kurasa wa gazeti la HabariLeo Anna Laizar aliyembeba Said Omary-5 (kushoto) na Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, Christina Geleja aliyembeba Nasra Habibu wakiwa Pugu Kajiungeni Dar es Salaam na watoto hao yatima waliofiwa na wazazi wao.
Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa TSN wakiwa Pugu Kajiungeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.
Wakizungumza na mmoja wa walezi wa mtoto yatima Christina Richard.
Watoto wakikata kiu na junce baada ya kukabidhiwa zawadi.
Ilikuwa ni mwendo kupata nyumba hizo za watoto yatima ili kuwafariji kwa zawadi kidigo za vyakula na nguo.
Wakiwa na bibi Hadija Mwinyimkuu mmoja wa walezi wa watoto yatima Pugu Kajiungeni Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Saturday, March 07, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo