Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2009

Mwakilishi wa gazeti la mwananchi Michael Uledi (40) pichani amefariki Dunia jana asubuhi mjini Dodoma. Uledi alijiunga na fani ya Habari mwaka 1998 akiwa mwakilishi wa magazeti ya Nipashe, The Guardian na Redio One mjini Dodoma kabla ya kuhamia Shirika la Viwanda Vidogo Vodogo (SIDO) Dodoma na baadae kujiunga na Benki ya Exim wilayani Masasi kabla ya kurejea tena Mkoani Dodoma akiwa mwakilishi wa gazeti la Mwananchi. Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali pema amina.
Posted by MROKI On Friday, March 06, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo