Nafasi Ya Matangazo

February 22, 2009

Timu ya Taifa ya Tanzania tayari iko nyuma kwa goli moja dhidi ya Senegal huko Ivory Coast.

-Baada ya kuonekana nafasi ya Godfrey Born inapwaya na mipira mingi inapitia kwake, anatolewa katika dakika ya 37 na kuingia Nurdin Bakari katika nafasi hiyo.

-Dakika ya 40 haruna Moshy'Boban' anatoka na kuingia Musa Hassan Mgosi.
ndani ya dakika 40 Stars imebadili wachezaji wawili.
-Dakika ya 56 anatoka Jerry Tegete anaingia Abdi Kassim 'babi'
Posted by MROKI On Sunday, February 22, 2009 2 comments

2 comments:

  1. Kaka Kidevu umeanza shabikia mpira ukubwani? ni jambo la kawaida kwa kocha kufanya mabadiliko kama hayo, kulingana na utaratibu wa makocha wengi, wanaweza kuanza kufanya mabadiliko dakika 20 baada ya mpira kuanza, kwenye muda huo unatosha kabisa kufahamu hali ya mchezaji na mapungufu yake. Nadhani tuwape nafasi vijana kuliko kuanza kusema "Tunaipenda Taifa Stars lakini"

    ReplyDelete
  2. jamani hao wachezaji we2,hawajui hata kupos duh!!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo