Nafasi Ya Matangazo

February 18, 2009

jamani mambo ya Stars haya. Nswajigwa akiangalia viwalo vya mtoko.
Suti iliyozinduliwa leo na wadhamini wa Taifa Stars Serengeti na NMB ambazo timu hiyo itazivaa wakati wa kuondoka kesho kwenda Ivory Coast.
Baada ya Uchambuzi ule sasa vijana watapendeza. Je wadau kunajingine?



Posted by MROKI On Wednesday, February 18, 2009 4 comments

4 comments:

  1. Asante kaka Mroky.. jingine wasivae hizo suti halafu wakawa wananuka vikwapa! Deodorants nazo zakuzingatiwa

    ReplyDelete
  2. Ukitaka unaweza...usiishie kupiga kelele kwenye michezo tu hata kwenye mambo ya siasa na uchumi!

    ReplyDelete
  3. Tunakushuruku Mkuu mroki kwa kuchokoza mada na kufanyia kazi uchambuzi. kingine ni kuwa Viongozi na wadhamini waangalie wenzetu wanafanya nini na kuiga yale mazuri, hou ndio uongozi wa sasa unavyotakiwa. Kwa mfano ukiingia katika website ya CAF utakuta kila kinachohusu mashindano haya ya CHAN( sheria,kanuni na maamuzi yote muhimu) yamewekwa wazi. Huu pia waweza kuwa mfano wa kuigwa na TFF katika kuendesha mashindino inayoandaa (Mf. ligi kuu n.k)kwa kuweka sheria na kanuni zote kwenye mtandao wake ili kuongeza uwazi zaidi na kupunguza maneno kuwa inapendelea timu fulani inapofanya maamuzi.

    ReplyDelete
  4. Hapa ndipo comment zetu zinapofanyakazi! Hongera Farther Mroki.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo