
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete(Wanne kushoto) akiongoza matembezi ya mshikamano katika sherehe kuadhimisha miaka 32 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika Shinyanga jana.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba,Makamu Mwenyekiti mstaafu CCM Bara, John Malecela,makamu Mwenyekiti CCM Bara Pius Msekwa, ,Mke waRais Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM walioshiriki katika matembezi ya mshikamano yaliyofanyika mjini Shinyanga jana .Matembezi hayo ya kuadhimisha miaka 32 ya CCM yaliishia katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Shinyanga.
0 comments:
Post a Comment