![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugqPJ79wI/AAAAAAAABQc/Q1l3Eb5o_d4/s400/1.JPG)
Safari ya kwenda nyumbani kwa Herry Makange ikianza
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugptVP6DI/AAAAAAAABQM/m3XnNygj828/s400/12.JPG)
Msemaji wa jeshi la Polisi, Kamisha Msaidizi Abbdallah Msika akitoa heshima kwa mwili wa marehemu
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugp4EjD1I/AAAAAAAABQU/RIIxsAqxQJE/s400/13.JPG)
Mke wa Marehemu Jane akitoa heshima kwa mumewe kabla ya kusafirisha kwenda Kibaha kwa mazishi yatakayo fanyika 20-12-2008.
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugKEJfKwI/AAAAAAAABP8/2BQmnbJQnfA/s400/10.JPG)
Dina Chahali wa Channel 10 akitoa heshima kwa kijan wake.
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugKBWKp5I/AAAAAAAABQE/ESDHk5puc_A/s400/11.JPG)
Wapigapicha wakiwa kazini
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugJ7m8rCI/AAAAAAAABP0/-27igFC4-uA/s400/9.JPG)
wafanyakazi wa Channel 10 wakitoa heshima mbele ni Docras Mtenga
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugJ-BqlCI/AAAAAAAABPs/qp17X1eK85M/s400/8.JPG)
Wafanyakazi wa African Media group wakiwa msibani leo
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUugJqJZZbI/AAAAAAAABPk/ZxNYyj2l-NA/s400/7.JPG)
Wafanyakzi wenzake
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUudDVMl-xI/AAAAAAAABPc/o76svkBmwuE/s400/6.JPG)
Wafanyazki tena wa Afrika Media group alikokuwa akifanyia kazi Marehemu
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUudCEJbDTI/AAAAAAAABO8/CT3bIzbMnCk/s400/2.JPG)
sanduku ulimohifadhiwa mwili wa marehemu Herry Makange
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUudC9uI-6I/AAAAAAAABPE/th0wEHVGNoI/s400/3.JPG)
Picha ya Herry Makange aliyezaliwa tare 8-8-1976 na nyota yake kuzimika 17-12-2008 siku 32 baada ya ndoa yake na Bi Jane Mponzi
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUudC7IjliI/AAAAAAAABPM/l5boW2qDbxg/s400/4.JPG)
Ndugu jamaa na marafiki
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SUudDf_MHlI/AAAAAAAABPU/0U8mfHb-FoU/s400/5.JPG)
Waombolezaji wakiwa msibani
Pole kaka Mroky kwa kumpoteza rafiki yako kipenzy nilisikia huzuni maneno uliyoandika mlipokutana tarehe09/12/2008 hakika huna budi kuyasema hayo ila zaidi nikumwombea Mjane maana ndo ni changa sana ili apate nguvu,kibinadamu tunaon aMungu akamchukua bado mdogo miaka 32 tu ila Mungu amemtaka zaidi.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
ReplyDelete