Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2008

Waandishi wa Habari walioshiriki katika Oparesheni Democrasia Comoro wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe baada ya kutunukiwa Nishani za Anjoun.
MSTARI WA MBELE TOKA KUSHOTO: Assa Mwambene, Mwantanga Ame, Bernard Membe, Faraja Kihongole na Khalfan Said. katikati toka kushoto: Victor Gunze, Manyerere Jackton, Stanley Ganzel na Sudi Mnete. NYUMA TOKA KUSHOTO: John Mapinduzi, Joseph Damas na Mroki Mroki.
Wimbo wa taifa ukipigwa baada ya utoaji wa nishani hizo
Waziri Membe, Father Kidevu na kaka wa Kidevu, Thomas Nathan
Waziri Membe akimpongeza Mroki a.k.a Father Kidevu kwa Nishani
Pongezi Father Kidevu....
Waziri Membe akiniambia jambo huku kulia Mke wangu Debora akisikiliza
Mpigapicha wa HabariLeo na Daily News ambaye pia ni Mwanablog maarufu Mroki Mroki
au Father Kidevu akiangalia nishani yake huku Mwantanga Ame wa ZanzibarLeo akimwangalia.
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimvisha Nishani ya Anjouan Mpigapicha wa magazeti ya HabariLeo, Daily News, HababariLeo Jumapili na Sunday News yanayochapisha na TSN ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake wakati wa Vita ya Kumuondoa Muasi wa Kisiwa cha Anjouan Mohamed Bakar. Waandishi 12 kati ya 13 walivishwa nishani hizo kwaniaba ya Rais Jakaya Kikwete.
Posted by MROKI On Tuesday, December 16, 2008 6 comments

6 comments:

  1. Mpiganaji Father Kidevu, hongera sana kwa nishani hiyo ya Anjouan.

    ReplyDelete
  2. Sikujua kuwa nawe father Kidevu ni pandikizi la CCM. Pole we au unautafuta uRweyemamu ambao kimsingi ni uchangudoa wa kawaida?
    Pole we. Hiyo nishani ningekuwa mimi ningei-flash chooni.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Father Kidevu,Unastahili pongezi kwa nishani ya Anjouan.Umependeza sana.

    ReplyDelete
  4. we annony hapo juu huna akili, sasa hii nishan ina uhusiano gani na u-CCM? we lazima utakuwa chadema maana nyie bila kutaja CCm hamjaridhika.
    wewe ndio changudoa wa siasa, tena hulipwi!
    kama hiyo nihsani inakuuma si utafute vita ukapigane afu utunukiwe sijui na nani?
    acha ushamba na wivu wa kijinga MBWIGA wewe.
    father kidevu post hii aione huyo mjinga!

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Father Kidevu,
    sasa tutakukoma kwa mapozi.
    ila usimpige mkwera mwanagu kuwa wewe ni mwanajeshi na ulishapigana vita akianza kumfata mwanao huko baadae!
    na mtaani kwenu usiwadanganye kuwa wewe usalama wa taifa, maana mi nakujua kwa fiksi zisizo na athari kwa jamii.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo