Askari akilinda katika gari walipokuwapo Basil Mramba na Daniel Yona
Daniel Yona (kushoto) n aBasil Mramba wakiwa katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri kusomewa mashitaka yao.
Basil Mramba na Daniel Yona wakiongozwa kuelekea mahakamani leo.
Aliyekuwa Waziri wa Fedha Basili Pesambili Mramba na Aliyekuwa Waziri wa NMishati na Madini Daniel Yona katika serikali ya awamu ya tatu ya Rais Benjamin Wiliam Mkapa leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka kadha ya matumizi mabaya ya ofisi na kuitia hasara serikali ya mabilioni ya shilingi. Picha za juu nitukio hilo lilovyokuwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
ndio mambo tunayotaka haya...
ReplyDeletemmojammoja wapande kizimbani tumesha choka nao.
Duh! Kikwete sasa njia nyeupeeeeeeeeeeee, ila hapa sasa Mkapa, Grey Mgonja, na wengineo kaeni chonjo.
ReplyDeleteHosea ulituahidi Kesi tano kabla ya Desemba tayari moja mwaga na hizo nne zilizosalia kabala yako kutimuliwa maana nawe umekalia kuti kavu na Mwanyika.