Nafasi Ya Matangazo

June 12, 2008

Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akizungumza jambo na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Ludovick Uttouh nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Serikali jana iliwasilisha mswada wa sheria ya kumwongezea makali CAG na leo Waziri wa Fedha atasoma mwelekeo wa Uchumi na Mchana atawasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2008/2009.
Posted by MROKI On Thursday, June 12, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo