Msanii Lumole Matovolwa anayeigiza kama, Iddi Amini-Dadaa akiwa na wenzake nje ya Idara ya Habari Maelezo walipozungumzia uzinduzi wa mchezo wa kuigizo waliouipa jina la Juliana. Mchezo huo, unatarajiwa kuzinduliwa Juni 26 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
0 comments:
Post a Comment