Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,
Eliakim Maswi (kulia), akibadilishana Nyaraka za Makabidhiano na Katibu Mkuu
Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto). Maswi ameteuliwa
kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja (kulia)
akipokea shada la maua kutoka kwa Cecilia Mrope Afisa kutoka Wizara ya Nishati
na Madini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari
Chambo (Kushoto), akisaini Nyaraka za Makabidhiano sambamba na aliyekuwa Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ambaye ameteuliwa kuwa
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi
Omari Chambo (kulia) akipokea Shada la maua kutoka kwa Mary Mkwaya Afisa kutoka
Wizara ya Nishati na Madini, mara baada yakuwasili wizarani. Wanaoshuhudia nyuma
ni Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Paul Masanja na Mkurugenzi wa Utawalana
RasilimaliWatu, Mrimia Mchomvu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo, akiongea jambo na Wajumbe wa
Menejimnenti wa Wizara baada ya kuwasili wizarani hapo. Katibu Mkuu alitumia
kikao hicho kuwaeleza wajumbe masuala muhimu ambayo atayasimamia kikamilifu
katika sekta za Nishati na Madini.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi akimpongeza, aliyekuwa Kamishna wa
Madini Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja aliteuliwa kuwa Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara.
0 comments:
Post a Comment