Nafasi Ya Matangazo

July 05, 2014

Rais Jakaya Kikwete, akipatiwa maelezo na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonhyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete, akipokewa na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonhyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akisaini kitabu cha wageni, huku akipatiwa maelezo na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonhyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini leo.
Posted by MROKI On Saturday, July 05, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo