Nafasi Ya Matangazo

January 27, 2014


 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizindua jumuia ya Wanafunzi wa mawasiliano ya Umma na matangazo katika chuo Kikuu Kishiriki cha  Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kongamano la umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii Tanzania wengine ni wanafunzi wa chuo hicho na Mkuu wa Chuo, Dk Juvenale Asante Mungu.
 Mhadhiri wa chuo Kikuu kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora David Mrisho akizungumza wakati wa kongamano la wanafunzi wa chuo hicho kuhusu umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii Tanzania.
 
 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza katika Kongamano la umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii Tanzania katika wa chuo Kikuu kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora juzi. kulia ni Mkuu wa Chuo, Dk Juvenale Asante Mungu


Mkurugenzi wa idara ya wanyamapori, Prof Alexander Songorwa akifafanua masuala mbalimbali kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora wakati wa kongamano la umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii Tanzania
Posted by MROKI On Monday, January 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo