Nafasi Ya Matangazo

October 31, 2013

Baada ya Kagera Suger kupata bao la kusawazisha dhifdi ya Simba katika dakika ya 90 Polisi wamelazimika kutumia mabomu kutuliza ghasia baada ya mashabiki wa Simba kuanzisha vurugu katika uwanja wa taifa hivi sasa. 

Simba ilikuwa mbele kwa goli moja lililofungwa na Hamisi Tabwe katika dakika ya 45 kipindi cha kwanza bao lililodumu hadi dakika ya 90 ya mchezo Kagera waliposawazisha kwa mkwaju wa penati na vurugu hizo kuanza.

Inaelezwa kuwa viti zaidi ya 30 vimevunjwa uwanjani hapo jambo ambalo linaweza kuigharimu timu ya Simba huku Polisi wakimshikilia mtu mmoja. 

Posted by MROKI On Thursday, October 31, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo