Katibu
Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome akifafanua
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya upangaji wa viwango vya alama,
matumizi ya alama endelevu ya mwanafunzi na ufaulu leo jijini Dar es Salaam, kulia ni
Kamishna wa Elimu Profesa Eustella Bhalasesa.
Baadhi
ya Maafisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome (hayupo pichani).
Jedwali Na 1
MUUNDO WA ALAMA NA UFAULU
ALAMA
|
UWIGO WA ALAMA
|
IDADI YA ALAMA
|
TAFSIRI
|
A
|
75 - 100
|
26
|
Ufauli
Uliojipambanua
|
B+
|
60 - 74
|
15
|
Ufaulu
bora sana
|
B
|
50- 59
|
10
|
Ufaulu
mzuri sana
|
C
|
40 - 49
|
10
|
Ufaulu
mzuri
|
D
|
30 - 39
|
10
|
Ufaulu
Hafifu
|
E
|
20 - 29
|
10
|
Ufaulu
hafifu sana
|
F
|
0 - 19
|
20
|
Ufaulu
usioridhisha
|
Kwa aina hii ya muundo wa alama, na kwa kuwa muundo
wa GPA utaanza kuandaliwa na wadau kuelimishwa kabla haujaanza kutumika, katika
kipindi hiki mpaka wakati huo, muundo wa madaraja utakuwa kama inavyooneshwa
kwenye jedwali la 2 hapa chini.
Jedwali Na 2
MUUNDO WA MADARAJA
MUUNDO
WA ZAMANI
|
MUUNDO
MPYA
|
MAELEZO
|
||
POINTI
|
DARAJA
|
POINTI
|
DARAJA
|
|
7-17
|
1
|
7-17
|
I
|
Kundi la
ufaulu uliojipambanua na bora sana
|
18-21
|
II
|
18-24
|
II
|
Kundi la
ufaulu mzuri sana
|
22-25
|
III
|
25-31
|
III
|
Kundi la
ufaulu mzuri na wa wastani
|
26-33
|
IV
|
32-47
|
IV
|
Kundi ufaulu hafifu
|
34-35
|
0
|
48-49
|
V
|
Kundi la ufaulu usioridhisha
|
0 comments:
Post a Comment