Nafasi Ya Matangazo

December 24, 2012

Taarifa ambazo zimeifikia Blogu hii hivi punde zinasema kuwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi linawataka Wazazi, Walezi na wanafunzi kufika katika Ofisi za Elimu Mkoa au Wilaya zao ndipo majina ya Wanafunzi na Shule walizopangiwa yanapatikana.

Hivyo mzazi au mlezi ukitaka kujua wapi mwanao amechaguliwa Fika katika Ofisi za Elimu Wilaya au Mkoa utafahamishwa.
Posted by MROKI On Monday, December 24, 2012 7 comments

7 comments:

 1. Hayo yote ni upuuzi mtupu, watu wote twende wilayani si itakuwa usumbufu, we fikialia mji kama Dar mtoto mmoja atakuwa na watu zaidi ya watano watakaotaka kuona hayo matokeo, baada ya masaa kazaa yatakuwa yamwshachanwa, mbona Halmashauri ya iringa wameweza kuweka kwenye mtandao, TUNAAMINI DAR SIO WABUNIFU, mji mchafu, msongamano, ujenzi Holela na matokeo wanataka tusongamane mjini, Achenu mambo ya kizamani Ilala, Kinondoni na Temeke wasomi hamna TIJA

  ReplyDelete
 2. TUWEKEENI MATOKEO KWNYE MTANDAO MBONA MNAFANYA MABO YA KIZAMANI SANA ACHENI HIZO

  ReplyDelete
 3. ABDURAPHIU BURHANIJuly 23, 2013

  MATOKEO YA DARASA LA SABA 2012

  ReplyDelete
 4. wekeni matokeo ya wapi kafaulia na ana max ngap?

  ReplyDelete
 5. tuwekeeni matokeo ya waliochaguliwa kidato cha kwanza.Kama TAMISEMI hawawezi warudishe wizara ya elimu maana wao walituwekea maksi za watoto wote.Iweje nyie mshindwe kwa wachache waliochaguliwa?

  ReplyDelete
 6. wanaleta uzandiki ao awana lolote

  ReplyDelete
 7. kama brog imewaxhinda mxeme

  ReplyDelete

 • Facebook
 • Twitter
 • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo