Nafasi Ya Matangazo

July 24, 2012

 Hali ndivyo ilivyokuwa...
 Abiria wakiwashusha wenzao.
Basi la Dar Express lililokuwa linatoka Arusha na basi la Simba Mtoto lililokuwa linaenda Tanga yamegongana uso kwa uso maeneo ya Wami. Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Chalinze.
Posted by MROKI On Tuesday, July 24, 2012 1 comment

1 comment:

  1. mbonna habari hii magazeti na vyombo vyetu vya bahari zinaificha..
    POLEN SANA MAJERUHI

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo