Nafasi Ya Matangazo

November 14, 2011

Waheshimiwa wabunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa wageni waalikwa katika shindano la kuwania taji la Vipaji la Miss Utalii Vyuo Vikuu 2011/12 – KANDA YA KATI. 

Shindano hilo la awali litafanyika katika ukumbi wa kisasa na maalufu mkoani Dodoma wa CLUB 84, kabla ya fainali kuu ya Miss Utalii vyuo Vikuu 2011/12 – KANDA YA KATI zitakazofanyika sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru tarehe 9-12-2011.

Jumla ya warembo 25 kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Chuo kikuu Cha ST John’s ,Chuo cha Mipango,na Chuo cha Biashara (CBE) watapanda jukwaani kuwania taji la Miss Utalii Vyuo Vikuu 2011/12 VIPAJI – Kanda ya kati. Warembo wote watapanda jukwaani kuwania taji hilo kwa kushindana kucheza na kuimba nyimbo na ngoma za asili za makabila ya Tanzania,pia wataPita jukwaani katika mavazi ya asili na ubunifu.

Hii itakuwa ni fulsa ya pekee kwa waheshimiwa wabunge na wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani,kushudia jinsi warembo wasomi wa vyuo vikuu wakidumisha utamaduni wa mtanzania kwa kucheza na kimba nyimbo na ngoma za asili ya makabila ya mtanzania.

Wadhaminiwa ni LAKAIRO HOTEL (Mwanza) Royal Village Hotel, NAM Hotel, KITOLI Hotel, Happy Fashion, Shabiby Bus Services, New Soft Hair Dressing Saloon, Becko Quality Center, CF communication ,Book Center and Stationary, Hotel Kitemba, CLUB 84, Master Pub, Musa transport, Perugina Investment, Dar city Collage,Father  Kidevu Blog, shaabanmpalule.blogspot.com,michuzijr.blogspot.com,Clouds FM,misstourismtanzania.blogspot.com,misstourismorganisation.blogspot.com,PAPA Msofe na Tambaza Auction Mart & General Broker,Asaah Salon.

 Majina ya washiriki wa shindano hilo linalo.Esther Maganza (Udom),Getrude Avelyn(Mipango),Loveness Shore(Mipango),Lisa Jackson(Mipango) ,Lilian Maleo(Udom),Alphonca Victor(Mipango),Irine Richard(Cbe),Jennifer Mafuru(Udom),Hawa Nyange(Udom),Lilian Charles(Mipango),Sarah Charles(Mipango),Violeth Ndawi(Mipango),Irine Julius(Mipango),Juster Julius(Mipango),Anneth Swai(St.John),Anitha Charles (Udom),Jacquiliney Kinabo(Udom),Pricilla Mponeja(Udom) wa fainali hizo watawakilisha Vyuo Vikuu vya kanda ya kati katika fainali za taifa za Mis Utalii Tanzania 2011/12 zitakazo fanyika Februari 2012.


Kambi a mazoezi ya warembo hao inaendelea katika hoteli ya kitalii ya Royal village hotel Dodoma,chini ya walimu wa Mariam Hamis (Miss Ualii Dodoma 2010/11na Jamida Abdul ( Miss utlii kigoma 2010/11) . haki katika kambi ya mazoezi ni ya ushindani mkubwa kutokana na washiriki wa kila chuo kudhamiria kutwaa taji la Vipaji hapo tarehe 18-11-2011na taji lenywe la MissUtalii Vyuo Vikuu 2011/12 – kanda ya Kati hapo tareh 9-12-2011
Posted by MROKI On Monday, November 14, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo