
Wanawake wa Mpanda wakipepeta mpunga kwenye eneo la mashine za kukoboa mpunga zilizopo steheni ya Mpanda mkoani Katavi, Julai 19, 010.
Wafanyabiashara wa mpunga wakipepepta zao hilo kabla ya kukoboa kweneye mashine zilizopo katika eneo la Stesheni ya Mpanda mkoani Katavi, Julai 19, 2010. Wanawake hawa wanastahili kuwa na vifaa vya kujikinga na vumbi la mpunga kwa afya zao.
0 comments:
Post a Comment