Nafasi Ya Matangazo

July 31, 2010

Mbunifu Maarufu wa Mavazi ,Mustafa Hassanali akiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Mwamnvita Makamba (kulia) na Mwanamitindo aliyeonesha moja ya Mavazi ya Hassanali ambaye gauni alilovaa liliuzwa kwa mnada na kununuliwa na Bi Mwanvita kwa USD 1000 na fedha hizo zinaenda kuchangia Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
Mdau kutoka PSI nae alikuwepo ukukmbini na zana. PSI ilidhamini pia onesho hilo la mavazi pamoja na Vodacom.
Ni meza ya DAR-BAGAMOYO ambayo nayo ilikuwepo katika shoo hiyo na asilimia flani ya mauzo ya kitabu hiki yanaenda kuchangia Hospitali hiyo ya wagonjwa wa akili Zanzibar.
Hii ilikuwa meza ya Vodacom na Viongozi wengine wa Zanzibar.
Mtoto Margareth Mwakyusa nae alinunua picha hii kwa USD 1000 na fedha hizo zinaenda katika kuchangia Hospitali hiyo.

Wanamitindo tofauti tofauti kutoka jijini Dar es Salaam wakipita jukwaani na mavazi ya mbunifu maarufu Tanzania na duniani Mustafa Hassanali wakati wa Onesho maalum la mavazi kuchangia Hospitali ya wagonjwa wa akili Zanzibar iliyofanyika Serena Hotel.

Posted by MROKI On Saturday, July 31, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo