Nafasi Ya Matangazo

May 12, 2010

Sanamu ya Makonde ambacho kiliibiwa kutoka Makumbusha ya Taifa Dar es Salaam, ilibwa kati ya mwaka 1984-1986 pamoja na baadhi ya mikusanyo ya mila na Sanamu hiyo kilikamatwa nchini Uswisi na hatimaye kurejeshwa hapa nchini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga akipokea Sanamu hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk.Ladislaus Komba.
Kinyago hicho kilikutwa katika makumbusho ya Barbier Murller nchini Switzerland. Sanamu hii ilikabidhiwa nchini Mei 9 2010 na uongozi wa Makumbusho hiyo ya Switzerland.
Posted by MROKI On Wednesday, May 12, 2010 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousMay 13, 2010

    all we should say is WE ARE GLAD WHATS IS OURS IS BACK!

    ReplyDelete
  2. ZeroBrainMay 13, 2010

    Sasa mbona wanakishika na hizo GLOVUZ.

    Kama ni kichafu au kinatia kinyaa sasa kwa nini walikileta? Si wangekiacha hukohuko?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo