Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2010

Mhitimu wa Kidato cha Sita, Martina Chambili, akiwa na baadhi ya wanafamilia yake wakati wakimpongeza mara baada ya kupokea cheti chake wakati wa maafali iliyofanyika katika Shule ya sekondari Royola jana.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha Sita katika Shule ya Royola Dar es Salaam, wakiwa katika Maafali yao iliyofanyika katika shule hiyo jana. Kushoto ni Martina Chambiri akiwa na wenzake wakati wa maafali hiyo.

Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha Sita katika shule ya Sekondari Royola Dar es Salaam, Martina Chambiri, (kushoto) na Naima Zacharia, wakiwa na furaha mara baada ya kupokea vyeti vyao wakati wa maafali yaliyofanyika katika Shule hiyo jijini jana.
Posted by MROKI On Sunday, February 28, 2010 2 comments

2 comments:

 1. jaman watu wanakuwa duh! huyu Martina namkumbuka aliimbaga wimbo wa tanzania eenh,tanzania, nchi yangu eenh, karibun muioneeee1
  CONGRATS MAMITO..KIP IT UP

  ReplyDelete
 2. Shukrani Mkuu kwa kutukumbushia enzi hizo. Ni vyema mkafanya interview naye kujua maisha yake ya muziki yamefikia wapi.

  ReplyDelete

 • Facebook
 • Twitter
 • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo