Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha Sita katika shule ya Sekondari Royola Dar es Salaam, Martina Chambiri, (kushoto) na Naima Zacharia, wakiwa na furaha mara baada ya kupokea vyeti vyao wakati wa maafali yaliyofanyika katika Shule hiyo jijini jana.
February 28, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

jaman watu wanakuwa duh! huyu Martina namkumbuka aliimbaga wimbo wa tanzania eenh,tanzania, nchi yangu eenh, karibun muioneeee1
ReplyDeleteCONGRATS MAMITO..KIP IT UP
Shukrani Mkuu kwa kutukumbushia enzi hizo. Ni vyema mkafanya interview naye kujua maisha yake ya muziki yamefikia wapi.
ReplyDelete