Nafasi Ya Matangazo

December 02, 2008

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini na Mhadhiri Mwandamizi wa Hisabati katika Chuo Kikikuu cha Dar es Salaam Prof Leonard Kanagwe Shayo amefariki dunia jana akiwa safarini kikazi mjini Arusha.
Prof. Shayo atakumbukwa na wasomi wengi na wanasiasa hasa baada ya kuwa miongoni mwa wanasiasa waliotulia na mmoja wa wagombea Urais katika uchaguzi mkuu wa 2005 ambapo licha ya rais Kikwete kushinda kwa kishindo lakini naye aliambulia kura 17,O33 sawa na 0.15% kati ya kura 10,590,016 zilizopigwa katika uchaguzi huo.
Ni mwandishi wa habari pia maana aliandika makala nyingi katika magazeti kadha ya Tanzania.
Tutamkumbuka kwa mengi lakini kubwa ni rekodi yake kisiasa alipofanya kampeni za Urais kwa Mark II.
Mungu amlaze mahali panapomsatahili AMINA.
Posted by MROKI On Tuesday, December 02, 2008 1 comment

1 comment:

  1. He died in Arusha and his his body will be flown to Mbezi, Dar es Salaam on Thursday evening, and the last respects will be made around 10:00 am at the Chapel of the University of Dar es Salaam. The body will be buried on 5th Dec 2008 in Kinondoni, Dar es Salaam.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo