Mwenyekiti wa Timu ya Watalaamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu na Msaidizi wa Aziri Mkuu Mahusiano, Asasi za Kiraia na Mashirika yasiyo ya Kiserikali, Tryphone Mkorokoti (wa pili kushoto) akiongoza kikao cha maridhiano cha kujadili mgogoro wa fidia kati ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na Kampuni ya Tanganyika Leisure Limited kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Juni 16, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Mthamini wa manispaa hiyo Alphonce Chuwa, Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanganyika Leisure, Evetha Massawe, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Erasto Kiwele na Msaidizi wa Waziri Mkuu Masuala ya Ardhi, Senso Magesa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment