Nafasi Ya Matangazo

September 21, 2025

 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbamba Bay, Nyasa mkoani Ruvuma katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM tarehe 21 Septemba, 2025.



Shamra shamra za wananchi wa Mbamba Bay mkoani Ruvuma ambao waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.







Posted by MROKI On Sunday, September 21, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo